Search

195 results for Noor Shija :

  1. Serikali kutunga sera ya Taifa ya Haki Jinai

    Dk Chana amesema wizara imetekeleza mkakati wa kutoa elimu ya Katiba na uraia kwa umma.

    New Content Item (1)
  2. PRIME Hatima ya vigogo Tume Huru ya Uchaguzi kuteka bajeti ya Sheria na Katiba

    Hoja ya kuwataka wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kujiuzulu, vyama kuanzisha madawati ya jinsia na Katiba mpya, huenda zikapata majibu katika hotuba ya bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria.

  3. Jafo: Hoja ya kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kurudi nyuma

    Bunge lapitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira.

  4. PRIME Bajeti ya Uwekezaji yapita, Mpina, Dk Kimei wakwama

    Awali, Profesa Mkumbo amesema TIC hadi Machi mwaka huu, kilisajili miradi mipya 509 sawa na ongezeko la asilimia 112.1. Miradi inatarajia kuwekeza Dola za Marekani milioni 4,490.24 na...

  5. Mbivu, mbichi suala la kikokotoo kujulikana Mei Mosi

    Serikali imeanza kuchukua hatua za kuyafanyia kazi malalamiko dhidi ya kanuni mpya ya kikokotoo cha pensheni baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutoa maelekezo mara mbili.

  6. Mpina aibua hoja tata bungeni

    Huku akimshangaa Waziri Simbachawene kwa kutosema lolote au kuonekana ameifanyia kazi kauli iliyotolewa Januari 2024 na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda, kwamba kuna baadhi...

  7. Nukuu za Lowassa, Mwinyi zilivyobeba hotuba ya Simbachawene

    “Tutawapima viongozi na watumishi kwa namna wanavyotimiza majukumu yao, hatutawaonea aibu viongozi na watumishi wazembe, wezi na wabadhirifu wa mali za umma. Tutaendeleza pia juhudi za kupambana...

  8. Mbunge azikataa ‘English Medium’ za Serikali

    Imeelezwa kuwa Manispaa na halmashauri nchini zimezua tabia ya kujenga shule zenye mkondo wa Kiingereza kwa maana ya ‘English Medium’

  9. Tarura yapewa fedha kiduchu, Kamati ya Bunge yatoa angalizo

    “Azma ya Tamisemi kusimamia miradi ya ujenzi wa barabara na miundombinu inayoendana na barabara hizo inaweza kufanikiwa kwa kuongeza fedha kwa Tarura,” amesema Dennis Londo.

  10. PRIME Mchengerwa katikati ya Mwalimu Nyerere, Mkapa

    “Hayati Baba wa Taifa aliwahi kusema “Hakuna shida yoyote ya watu ambayo tunaweza sema kuwa haituhusu – J.K. Nyerere 1962 Dar es Salaam.”

Page 1 of 20

Next